Mapema leo, wajumbe wa Kamati ya Ujenzi na Miundombinu Yanga walitembelea Uwanja wa Azam Complex kujifunza juu ya miundombinu ya viwanja
Ni sehemu ya mchakato wa maandalizi ya ujenzi wa Uwanja wa Yanga huko Kigamboni, Dar es Salaam

ADVERTISE HERE