Machampioni wa ligi kuu ya Vodacom kwa misimu mitatu mfululizo, klabu ya Simba tayari imewasili mkoani Mbeya kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City
Mchezo huo utaunguruma siku ya Jumapili pale kwenye uwanja wa Sokoine, kuanzia saa kumi kamili jioni
Simba iliondoka jijini Dar es salaam mchana wa leo ikiwa na kikosi chake kamili tayari kwa mchezo huo



ADVERTISE HERE