Nahodha wa klabu ya Simba John Bocco ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom kwa mezi Novemba 2020
Bocco ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting na Deus Kaseke wa Yanga
Aidha kwa upande wa tuzo ya kocha bora wa mwezi imekwenda kwa kocha wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa
ADVERTISE HERE