Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuingia nchini Ethiopia usiku wakitokea Nigeria ambako jana walikamilisha mchezo wa kwanza wa hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Plateau United
Mabingwa hao wa nchi watalala Ethiopia na mapema kesho Jumanne kuianza safari ya kurejea nchini
Simba inatarajiwa kutua ardhi ya Tanzania kesho saa kumi Alasiri, wakitua uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

ADVERTISE HERE