Bao lamuongezea mzuka Morrison

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2020
Bao lamuongezea mzuka Morrison

Winga wa Simba Bernard Morrison ameeleza furaha yake baada ya kufunga bao lake la kwanza kwenye ligi msimu huu

Katika mchezo dhidi ya Coastal Union ambao Simba iliondoka na ushindi wa mabao 7-0, Morrison alifunga moja ya mabao hayo pamoja na kutoa pasi moja ya goli

Mghana huyo aliyetua Simba baada ya kuwatosa Yanga, amesema bao hilo limemuongezea mzuka na anaamini ataendelea kutupia kwa kuwa amezunguukwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa

"Nina furaha kufunga goli langu la kwanza la ligi nikiwa na Simba. Kwa wachezaji wazuri tulionao najua ninaweza kufunga zaidi hivyo huu ni mwanzo tu wa mambo makubwa ambayo yatakuja," alisema Morrison

Morrison alicheza mchezo wake wa kwanza jana baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa michezo mitatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’