Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kushoto wa wa Yanga Jaffar Mohammed Mkushi
Ukizungumzia wachezaji walioboresha viwango vyao na kuwa tegemeo kwenye kikosi cha kwanza kuwezi kukosa kumtaja rasta huyu makini
Wakati Yanga inamsajili Adeyum Saleh dirisha dogo, alitarajiwa angekuwa chaguo la kwanza mbele ya Jaffar
Hata hivyo ni tofauti, na kwa kiwango anachoonyesha Jaffar, hakika anastahili kuanza kwenye kikosi cha kwanza
Tunamtakia kila la kweri katika siku hii muhimu kwake
Happy BirthDay Jaffar....!
ADVERTISE HERE