Ukivaa uzi wa Simba lazima upendeze..

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Nov 2020
Ukivaa uzi wa Simba lazima upendeze..

Pichani juu Msanii wa Bongofleva Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz akiwa na watoto wake wawili pamoja na Mama wa watoto hao Zarina Hassan wakiwa wamependeza ndani ya uzi wa Mabingwa wa nchi, Simba

Diamond aka Simba ni balozi wa klabu ya Simba, huyu ni shabiki mkubwa wa miamba hii ya soka nchini

Simba ndio klabu inayoungwa mkono zaidi hapa Tanzania, katika watu kumi, saba ni mashabiki wa Simba

Ni kwa mujibu wa takwimu zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'MO'

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’