Imeelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Coastal Union umepeleka malalamiko TFF wakidai kuwa Yanga ilimtumia mchezaji Erick Kabamba ambaye hakuwemo kwenye orodha ya wachezaji waliopaswa kushuka dimbani kwenye mchezo wa jana
Hata hivyo imebainika kuwa Kabamba alikuwemo kwenye orodha rasmi iliyotolewa na klabu kwa ajili ya mchezo
Alikosekana kwenye orodha ya awali iliyotolewa kwa vyombo vya habari
Hii hapa orodha rasmi iliyotumika kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE