Simba yaingia kambini kuiwinda Plateau United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Nov 2020
Simba yaingia kambini kuiwinda Plateau United

Hakuna muda wa kupoteza tena baada ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kuweka hadharani ratiba za hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho

Kikosi cha Simba kinaingia kambini leo kuanza maandalizi kuelekea mchezo wa kwanza dhidi ya mabingwa wa Nigeria Plateau United ambao utapigwa kati ya Novemba 27-29 kule Nigeria

Kabla ya mchezo huo, Simba inakabiliwa na michezo miwili ya ligi dhidi ya Coastal Union, mchezo utakaopigwa Novemba 21 ugenini mkoani Tanga na mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Novemba 24 mkoani Dodoma

Wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa, wametakiwa kuingia kambini kuanza maandalizi hayo

Simba inawakosa takribani wachezaji 14 kutokana na majeruhi na wengine kuitwa timu za Taifa

Kocha Sven Vandenbroeck atalazimika kujumuishwa wachezaji wa timu ya vijana katika kikosi chake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’