FT : Yanga 0-0 Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Feb 2020
FT : Yanga 0-0 Prisons

Yanga imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa pili mfululizo baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Tanzania Prisons

Mkufunzi wa Yanga Luc Eymael leo alifanya mabadiliko kwenye kikosi chake cha kwanza kilichoanza akiwaanzisha Yikpe Gnamien na Tariq Seif kwenye safu ya ushambuliaji

Hata hivyo bado changamoto inaonekana kwenye safu ya ushambuliaji

Katika mchezo huo Bernard Morrison alikosa mkwaju wa penati

Matokeo hayo huenda yakaanza kufifisha ndoto ya Yanga kutwaa ubingwa msimu huu kwani watakuwa na kazi ya kufanya kuweza kuwakamata wapinzani wao Simba ambao wameendelea kufanya vizuri

Leo wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli Fc na sasa wamefikisha alama 56 ambazo ni alama 17 zaidi ya Yanga huku timu hizo zikitofautiana michezo miwili tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’