Tuna timu bora, tutatimiza malengo - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Nov 2020
Tuna timu bora, tutatimiza malengo - Mo

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji amewasifu wachezaji wa timu hiyo kwa kujituma na kupambana kuhakikisha wanapata matokeo uwanjani

Mo ametoa kauli hiyo siku moja baada ya mchezo dhidi ya Yanga ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Waamuzi wa mchezo huo wameshushiwa lawama kwa kutoitendea haki Simba katika matukio mengi kwenye mchezo huo

Mo amesema ni utamaduni wa Simba kupigania matokeo ndani ya uwanja, pamoja na changamoto wanazokutana nazo, anaamini watatimiza malengo

"Tuna timu bora, tunacheza kwa moyo na tunajituma kupata matokeo mazuri uwanjani. Safari bado ni ndefu, Insha'Allah tutatimiza malengo yetu," aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mabingwa hao wa nchi wanasubiri droo ya hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu. Droo hiyo itafanyika nchini Misri leo, baadae Simba itafahamu timu itakayokutana nayo katika hatua hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’