Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere anaendelea na matibabu ya majeraha aliyopata kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania mwezi uliopita
Kagere tayari amekosekana uwanjani kwa takribani wiki mbili kutokana na majeraha hayo
Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema mfungaji bora huyo wa ligi kuu kwa misimu miwili mfululizo wanaweza kukosekana kwa wiki nyingine mbili
Ugua pole MK-14
ADVERTISE HERE