PIinto kurejea kuanza kazi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2020
PIinto kurejea kuanza kazi Yanga

Nguli wa mfumo wa soka la kisasa Antonio Domingos Pinto kutoka Ureno ambaye hivi karibuni aliletwa na GSM kwa ajili ya mazungumzo ya kuongoza mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uwendeshaji wa klabu ya Yanga, anatarajiwa kurejea wakati wowote kuanza kazi hiyo

Pinto ambaye alifanya kazi kunako klabu ya Benfica Fc kwa miaka 10, ataitengenezea Yanga ramani ya mfumo upya wa uendeshaji ambapo atafanya kazi bega kwa bega na Kamati ya Mabadiliko iliyoundwa na uongozi wa Yanga

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema Pinto alikuja kwanza kwa ajili ya mazungumzo na walifikia makubaliano kwenye masuala ambayo Yanga ilihitaji uzoefu wake

Inaelezwa mpaka kufikia mwezi May mwaka huu mchakato mzima utakuwa umekamilishwa na pengine kuanzia msimu ujao wanachama na mashabiki wa Yanga watahusika moja kwa moja kwenye maendeleo ya klabu yao kwa kuwa wanahisa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’