Nahodha wa Simba John Bocco anaendelea na mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa kutokana na majeruhi
Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo imebainisha kuwa Bocco atarejea dimbani hivi karibuni
Kwa sasa anatekeleza program maalum chini ya uangalizi wa Mtaalamu wa Tiba ya Viungo, Paul Gomez

ADVERTISE HERE