Mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mguto amekiri kuwa vijana wake walijisahau kutoipangia Yanga mechi katikati ya wiki hii baada ya kucheza na Prisons mchezo wa kombe la FA Jumapili
Akihojiwa na eFM radio mapema leo, Mguto amesema Yanga walipaswa kucheza mechi katikati ya wiki kama zilivyo timu nyingine
Hata hivyo amewalaumu viongozi wa Yanga kuwa nao walipaswa kuwakumbusha !Β
Pamoja na kuwa na michezo pungufu kuliko timu nyingine, Yanga haikupangiwa mechi mpaka Jumapili ijayo watakapocheza na Mtibwa Sugar ambayo leo iko uwanjani kuumana na Azam Fc
ADVERTISE HERE