Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameunda Kamati ya Ushindi timu ya Taifa kuelekea kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021
Kamati hiyo itaongozwa na Ghalib Said Mohammed 'GSM' akiwa Mwenyekiti na Salim Abdallah 'Try Again' akiwa Makamu Mwenyekiti
Miongoni mwa wajumbe wa Kamati hiyo ni Haji Manara na Jerry Murro

ADVERTISE HERE