Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limeiagiza Kamati ya Maadili kuanza uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa na mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili kuhusu viongozi wa Simba ambao msimu uliopita walijaribu kumhonga gari ili afanye makosa ambayo yangeweza kuinufaisha timu hiyo
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo inaeleza kuwa tayari wametoa taarifa kwa vyombo vya usalama ili kuanza uchunguzi

ADVERTISE HERE