Simba kutest mitambo dhidi ya Ndanda Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Oct 2020
Simba kutest mitambo dhidi ya Ndanda Fc leo

Saa 11 jioni ya leo pale uwanja wa Azam Complex, mabingwa wa nchi Simba watakuwa na jambo lao pale watakaposhuka kwenye dimbani kuumana na Ndanda Fc katika mchezo wa kujipima nguvu

Baada ya mapumziko ya mechi za timu ya taifa, Simba inarejesha burudani kwa mashabiki wake wakianza na Ndanda leo

Watarejea tena hapo Azam Complex, Oktoba 17 kuikabili Mlandege Fc

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema atatumia mchezo huo kuwachangamsha vijana wake ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Oktoba 22

Wanasimba leo watarajie kuwashuhudia nyota wao mahiri wakiwemo Bernard Morrison na Luis Miquissone ambaye hakusafiri nchini Msumbiji kutokana na sababu za kifamilia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’