Simba yaanza na Gym kuivutia kasi JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2020
Simba yaanza na Gym kuivutia kasi JKT Tanzania

Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kimerejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania

Mchezo huo utapigwa Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma

Simba imeanza kujifua Gym kuweka sawa utimamu wa miili ya wachezaji

Mabingwa hao watetezi wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wakiwa wamejikusanyia alama 10, alama mbili nyuma ya Azam Fc wanaoongoza ligi wakiwa na alama 12

Huu ni msimu mwingine ambao Simba imepania kuondoka na ubingwa wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’