Kiungo wa Simba Gerson Fraga ambaye alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Biashara United mwishoni mwa wiki, hali yake inaendelea vizuri
Mwamba huo raia wa Brazil anatarajiwa kurejea mapema dimbani baada ya kuanza matibabu ya jeraha alilopata
Fraga alianzishwa kwenye mchezo dhidi ya Biashara United hata hivyo majeraha ya goti aliyopata yalimfanya atolewe mapema baada ya dakika nane na nafasi yake kuchukuliwa na Said Khamis Ndemla
Simba ilishinda mchezo huo kwa mabao 4-0
ADVERTISE HERE