Dirisha dogo la usajili linafungwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2020
Dirisha dogo la usajili linafungwa leo

Dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Disemba 15 2019, linatarajiwa kufungwa leo Januari 15 2020 saa 5:59 usiku

Mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji sita huku kukiwa na taarifa kuwa huenda ikaongeza nyota mmoja kabla ya dirisha kufungwa

Wachezaji watano walisajiliwa mapema na tayari wamepata vibali vya kuitumikia Yanga kwenye michuano mbalimbali

Wachezaji hao ni Adeyum Saleh, Yikpe Gnamien, Haruna Niyonzima, Tariq Seif na Ditram Nchimbi

Usiku wa kuamkia leo Yanga imemalizana na winga Bernard Morrison aliyetokea klabu ya DC Motemba Pembe

Nyota mwingine Owe Bonyanga alikuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga, bado mabingwa hao wa kihistoria hawajaweka hadharani kama wamemsajili au la

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’