Mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi African Lyon umemalizika kwa wababe hao soka nchini kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Mabao ya Simba yaliwekwa kambani washambuliaji Chris Mugalu na Charles Ilanfya
Ulikuwa mchezo wa kujipima nguvu ambao ulipigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck alitumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji ambao wengi wao walikosa mchezo dhidi ya Biashara United
ADVERTISE HERE