Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana
Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa kocha Luc EymaelΒ
Nyota huyo amewahi kuzitumikia DC Motema Pembe DRC (2018), Orlando Pirates (2016-2018), AS Vita DRC (2015-2016), Ashanti Gold FC Ghana (2013-2015) na Hearts of Lions (2010-2013)
ADVERTISE HERE