Kwa misimu miwili iliyopita, walinzi Paschal Wawa na Erasto Nyoni ndio waliokuwa tegemeo la safu ya ulinzi katika michuano mbalimbali
Ujio wa Kennedy Juma msimu uliopita na msimu huu Ibrahim Ame na Joash Onyango ni kama wamevuruga pacha hiyo iliyokuwa ikiaminiwa zaidi
Hata hivyo bado wengi wanaamini, Wawa na Nyoni mchango wao utaisaidia Simba katika michuano yote ya msimu huu



ADVERTISE HERE