Wanachama na mashabiki wa klabu ya Yanga Wilayani Biharamuro mkoani Kagera jana walitembelea Hospitali Teule ya Biharamulo na kutoa msaada kwa wagonjwa na kuchangia Damu katika benki ya Damu ya Hospitali hiyo
Wanayanga wa Biharamuro wanastahili pongezi kwani wanaendeleza utamaduini wa klabu ya Yanga kuhudumia wananchi



ADVERTISE HERE