Mechi dhidi ya Biashara United kupigwa saa moja usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2020
Mechi dhidi ya Biashara United kupigwa saa moja usiku

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara, amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa keshokutwa Jumapili katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Manara amebainisha kuwa mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku

Aidha, Manara ameeleza kuwa klabu ya Simba imeridhika na uamuzi wa Bodi ya Ligi kushusha bei ya viingilio katika michezo inayopigwa uwanja wa Mkapa

"Tumepokea kwa furaha uamuzi wa Bodi ya Ligi kushusha viingilio hasa kwa majukwaa ya Mzunguuko. Ni matarajio yetu mashabiki wa Simba mtajitokeza kwa wingi siku ya Jumapili, kushuhudia Burudani itakayokuwa na idadi ya mabao sahihi kutoka kwa timu yenu"

"Tunawaambia ndio tunarudi nyumbani, tunaanza kuwakera," alisema Manara

Bodi ya ligi imeshusha bei ya viingilio kwa majukwaa ya Mzunguuko kutoka Tsh 5,000/- mpaka Tsh 3,000/-

Mashabiki wa Simba watakuwa na kwanza kunufaika na maamuzi hayo siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’