Ame hana haraka Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2020
Ame hana haraka Simba

Beki mpya wa Simba Ibrahim Ame amesema licha ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza wakati huu, hana wasiwasi kwani anaendelea kujifunza kutoka kwa nyota aliowakuta

Ame ametua Simba dirisha la usajili lililopita akitokea klabu ya Coastal Union ya mkoani Tanga

Bado hajafanikiwa kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha Sven Vandenbroeck akicheza mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya Vilat'o katika tukio la Simba Day

Ame amesema kikosi cha Simba kimesheheni wachezaji wengi mahiri hivyo, anaamini ni sahihi kuutumia wakati huu kujifunza

Mzanzibar huyo amesema Simba ina kila sababu ya kutetea mataji yake waliyotwaa msimu uliopita kutokana na ubora wa kikosi chao

"Kwa ubora wa timu tuliyonayo, Simba iko tayari kupigania mataji yote tunayoshiriki. Ushindani wa namba pia ni jambo jema kwa timu hasa kocha kwani anakuwa na wigo mpana wa kuchagua kikosi chake," Ame aliiambia tovuti ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’