Simba yajifua uwanja wa Boko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Feb 2018
Simba yajifua uwanja wa Boko
Kikosi cha Simba leo jioni kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko jijini Dar es salaam.

Simba inajiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam FC, mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumatatno kwenye uwanja wa Taifa.

Habari njema ni kurejea kikosini kwa Emanuel Okwi aliyeumizwa jana kwa kupigwa kiwiko makusudi na mlinzi wa Ruvu Shooting Mau Bofo.

Okwi amejumuika kwenye mazoezi ya jion.

Mchezo dhidi ya Azam FC una umuhimu wake, ushindi utaiweka Simba mbele kwa tofauti ya alama nane dhidi ya wana rambaramba hao
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’