Simba kazi moja Morogoro

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Sep 2020
Simba kazi moja Morogoro

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo Jumamosi saa kumi jioni kitashuka katika dimba la Jamhuri mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Ni mchezo wa raundi ya pili msimu huu, mabingwa hao watetezi wakiwa wanasaka ushindi wao wa pili

Msemaji wa Simba Haji Manara amebainisha kuwa wanafahamu hautakuwa mchezo mwepesi kama ilivyo michezo yote wanayocheza dhidi ya wakata miwa hao

Hata hivyo amesema lengo la Simba ni kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu

Simba wako mkoani Morogoro wakiwa na silaha zote kama Bernard Morrison, Luis Miquissone, Paschal Wawa, Clatous Chama, Larry Bwalya, Jonas Mkude, Joash Onyango na majembe kibao

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri, ni mmoja wa michezo mitatu ambayo inapigwa leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’