Simba yaingia kambini kuiwinda Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Sep 2020
Simba yaingia kambini kuiwinda Mtibwa Sugar

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kinaingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 12 kwenye uwanja wa Jamhuri

Mabingwa hao wa nchi walianza mazoezi jana baada ya mapumziko ya siku moja

Waliuanza msimu mpya kwa ushindi mkoani Mbeya kwa kuichapa Ihefu Fc mabao 2-1

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Haji Manara amesema timu inatarajiwa kuelekea mkoani Morogoro kesho Alhamisi

Simba imeweka malengo ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’