Wakati Simba na Yanga zikikutana kwenye mchezo wa 100 leo, Yanga bado ndiye mbabe wa michezo ya dabi dhidi ya watani zao Simba
Kwani mara 99 walizokutana, Yanga imeshinda mara 36, wakati Simba imeshinda mara 28
Timu hizo zimetoka sare katika michezo 35
Yanga imedhamiria kuibuka na ushindi wa 37 leo

ADVERTISE HERE