Simba iko tayari kuikabili Ihefu Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Sep 2020
Simba iko tayari kuikabili Ihefu Fc

Kocha Mkuu wa mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Vodacom ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Sokoine, mkoani Mbeya

Simba iliweka kambi ya siku nne mkoani Mbeya, leo imekamilisha maandalizi yake ya mwisho tayari kwa mchezo

Sven amesema wamefanya maandalizi ya kutosha huku akibainisha kuwa anatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa vijana hao wa Ihefu waliopanda daraja msimu uliopita

"Siku zote mechi ya kwanza ya ligi ni ngumu sababu kila mmoja anataka kuonyesha uwezo wake na hasa wanapocheza na Simba.

"Sisi tumejiandaa na wachezaji wote ambao tumekuja nao Mbeya wapo tayari kwa mchezo. Tumejipanga kufanya kazi yetu ikiwezekana kuwashinda na kuanza ligi na alama tatu," amesema Sven

Mabingwa hao watetezi kesho wanaianza kampeni ya kuwania ubingwa wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’