Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Abeid Mziba ameteuliwa kuwa Kaimu Meneja wa timu hiyo
Akizungumza na Wanahabari mapema leo, Katibu Mkuu wa Yanga Dk David Ruhago, amesema Mziba anachukua nafasi ya Dismas Ten ambaye uteuzi wake ulisitishwa juzi
Ten ataendelea kuwa Afisa Masoko wa Yanga
ADVERTISE HERE