Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza Hamis Kisiwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki kuanzia leo Ijumaa, Septemba 04 2020
Kisiwa amechukua nafasi ya Hashim Mbaga ambaye aliondolewa kwenye nafasi yake mwezi uliopita

ADVERTISE HERE