Uteuzi wa Jonesia kuchezesha Simba na Yanga safi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2020
Uteuzi wa Jonesia kuchezesha Simba na Yanga safi

Mapema leo Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) lilimtangaza Mwanamama Jonesia Rukyaa kuwa ndiye atakayeshika 'kipyenga' kwenye mchezo wa watani wa jadi ambao utapigwa Jumamosi, Januari 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa

Uteuzi wa Mwanamama huyo umepongezwa na wadau wa soka kwani ni miongoni mwa waamuzi wachache nchini ambao wamekumbana na ukosoaji mdogo kutokana na uwezo wake wa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa mpira wa miguu

Rukyaa atasaidiwa na Sudi Lila akiwa Mwamuzi Msaidizi namba moja na Hamis Chang'walu akiwa Mwamuzi Msaidizi namba mbili

Mwamuzi wa akiba ni Elly Sasii wakati Kamishana wa mchezo ni Khalid Bitebo na Mtathmini wa Waamuzi ni Sudi Abdi

Muda mwa mchezo huo utakuwa saa 11 jioni

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’