Baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Arusha Fc leo katika mchezo wa kirafiki, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania bara, Simba Sc kesho Jumanne kinaelekea mkoani Mbeya
Siku ya Jumamosi Septemba 06, Simba Sc watakuwa wageni wa Ihefu Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sokoine
Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom, 2020-21
ADVERTISE HERE