Yanga yakarabati Wodi Mwananyamala, Waziri apongeza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2019
Yanga yakarabati Wodi Mwananyamala, Waziri apongeza

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapongeza Wanachama wa Yanga Tawi la Furaha ya Yanga jijini Dar es salaam kwa kufanya ukarabati wa Wodi, Hospitali ya Mwananyamala

"Tunaipongeza timu hii ya Yanga kwa kuchangia ukarabati wa wodi zetu katika Hospitali hii ya Rufaa ya Mwananyamala," amesema Waziri Ummy

"Kwa kweli ni jambo zuri, mimi ni Simba Damu lakini akifanya vizuri mwenzako inabidi umpongeze. Nawapongeza wanachama wa Yanga, na mimi nitoe wito kwa Wanasimba wenzangu, tunapaswa kujibu 'mapigo'"

Ukarabati wa Wodi hizo ulianza wakati wa wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake kilikuwa August 04 2019

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’