Simba kujipima na Arusha Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Aug 2020
Simba kujipima na Arusha Fc

Baada ya kutwaa Ngao ya Jamii kwa msimu wa nne mfululizo baada ya kuifunga Namungo Fc mabao 2-0, Mabingwa wa nchi Simba wanaendelea kubaki mkoani Arusha ambapo leo watacheza mchezo wa kirafiki

Simba inatarajiwa kuchuana na Arusha Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Upana wa kikosi cha Simba unawapa jeuri kucheza mechi hata mbili ndani ya siku moja

Walishafanya hivyo jijini Dar es salaam walipocheza na KMC na Transit Camp na zote wakaondoka na ushindi mnono

Simba itaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya nne siku ya Jumamosi, Septemba 06 watakaposafiri mkoani Mbeya kuifuta Ihefu Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’