Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ameanza majukumu ya Kocha Msaidizi kunako klabu ya Bulidcon Fc inayoshiriki ligi kuu ya Zambia
Mwandila aliteuliwa kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo wiki iliyopita zikiwa ni wiki chache tangu afutwe kazi na uongozi wa Yanga
Kocha huyo anatarajiwa kuungana na bosi wake Mwinyi Zahera ambaye wakati wowote atatangazwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo
Zahera aliwahi kuinoa Buildcon Fc kwa muda mfupi kabla ya kujiunga na Yanga
ADVERTISE HERE