Hesabu la kwanza hilo, FT Simba 2-0 Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Aug 2020
Hesabu la kwanza hilo, FT Simba 2-0 Namungo Fc

Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Mabao ya Simba yaliwekwa kimiani na nahodha John Bocco kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika ya saba na bao la pili likiwekwa kimiani na Bernard Morrison

Matunda ya Morrison yameanza kuonekana mapema katika klabu ya Simba kwani ni yeye aliyesababisha mkwaju wa penati uliowekwa kimiani na Bocco

Ulikuwa mchezo ambao Simba ilikuwa bora sana na hatari kila iliposhambulia lango la Namungo

Hii ni Ngao ya nne Simba inachukua, wamefanya hivyo tangu mwaka 2017

Hesabu za mataji zimeanza leo, ni mwendo huu huu mpaka mwisho wa msimu..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’