Uongozi wa klabu ya Simba kesho Jumatano, watazungumza na wanahabari katika mkutano utakaofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Mkutano huo maalum kwa ajili ya kuweka wazi mipango na maandalizi kuelekea Simba Day siku ya Jumamosi
Katika Mkutano huo, Simba itaweka hadharani viingilio vya tukio hilo linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mabingwa hao wa nchi
ADVERTISE HERE