Okwi, Murshidi wamezikosa kidogo tu fainali za kombe la dunia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Oct 2017
Okwi, Murshidi wamezikosa kidogo tu fainali za kombe la dunia
Matokeo ya suluhu ya 0-0 iliyopata Uganda dhidi ya Ghana na jana Misri kuilaza Congo mabao 2-1 yamezima ndoto za Taifa hilo kutinga fainali ya michuano ya kombe la dunia.

Wachezaji wawili wa Simba, Emanuel Okwi na Juuko Murshidi walikuwemo kwenye kikosi cha Uganda, ambapo Okwi alicheza dakika zote tisini katika mchezo dhidi ya Ghana.

Misri imetinga fainali za kombe la dania kwa mara ya kwanza tangu ilipofanya hivyo mwaka 1990. Ushindi dhidi ya Congo umeifanya ifikieshe alama 12 wakati Uganda iliyo nafasi ya pili ina alama nane.

Timu zote zimebakisha mchezo mmoja.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’