Ngoma yuko Dar

Admin By Admin
β€’
28 Jun 2017
Ngoma yuko Dar
Swala la usajili wa mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma linaonekana kuzua sintofahamu baada ya mchezaji huyo kutua leo uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JNIA.

Mapema leo mtandao wa KICKOFF wa Afrika Kusini ulitoa taarifa kuwa Ngoma amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Polokwane City inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL).

Hata hivyo taarifa iliyokuwa imetolewa mapema na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa ilieleza kuwa Ngoma angetua leo kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga.



Ngoma kama anavyoonekana hapo juu ametua jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’