Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji Elias Mwanjala amesema hatma ya winga Bernard Morrison dhidi ya klabu yake ya Yanga itafahamika kesho Jumatano, saa saba mchana
Mwanjala amesema baadhi ya nyaraka hazikukamilika mpaka siku ya kesho saa mbili asubuhi
Kikao kitaendelea tena kesho kuanzia saa nne asubuhi na kitakwenda mpaka saa saba mchana ambapo watahitimisha kwa kutoa hukumu ya shauri hilo
ADVERTISE HERE