Yanga imeilaza Mwamgongo Fc mabao 2-1 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma
Abdullazak Boban aliitanguliza Mwamgongo lakini Adam Stanley na Mapinduzi Balama wakaihakikishia Yanga ushindi dhidi ya timu hiyo ya daraja la pili
Keshokutwa Jumapili Yanga itacheza mchezo wa pili dhidi ya Mbao Fc
ADVERTISE HERE