Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimemalizika lakini suala la mkataba wa mchezaji Bernard Morrison na klabu ya Yanga halijatolewa ufumbuzi
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji Elias Mwanjala amesema hukumu ya kesi ya winga huyo itatolewa leo Jumanne saa nane mchana
Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka Wanasimba kupuuza taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Yanga wameshinda shauri hilo
Amesema mbivu na mbichi zitafahamika siku ya leo pale Kamati itakapotangaza maamuzi yaliyofikiwa
ADVERTISE HERE