jana Yanga ilisafiri Kigoma bila ya nyota kadhaa wa kigeni ambao awali walipewa ruhusa ya kusafiri kwenda kuziona familia zao
Taarifa iliyopatikana ndani ya uongozi wa Yanga mapema leo, imebainisha kuwa nyota hao watasafiri leo kwenda kuungana na wenzao huko Kigoma

Wachezaji hao ni nahodha Papy Tshishimbi, Farouk Shikhalo, Patrick Sibomana na David Molinga
Pia yumo Deus Kaseke ambaye inaelezwa alipewa ruhusa kwenda kushughulikia matatizo binafsi
ADVERTISE HERE