Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck nae akatwaa tuzo ya kocha bora wa msimu
Sven amestahili tuzo hiyo baada ya kuingoza Simba kutwaa mataji mawili, Ligi Kuu na kombe la FA
Kocha Msaidizi, Selemani Matola alikuwepo kupokea tuzo hiyo kwa niaba yake
ADVERTISE HERE