GSM kuongeza nguvu usajili dirisha dogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2019
GSM kuongeza nguvu usajili dirisha dogo

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema kampuni ya GSM ambao ni moja wa wadhamini wa klabu hiyo, wataongeza nguvu kwenye usajili wa dirisha dogo

Yanga imeanza mchakato wa maboresho ya kikosi chake ambapo wachezaji wapya wataongezwa dirisha dogo

Bilionea Said Gharib Mohammed ndiye CEO wa GSM, amekuwa sehemu ya mafanikio ya Yanga msimu huu

Gharib aliichangia Yanga Tsh Milioni 300 kwenye tukio la KUBWA KULIKO lililofanyika mwezi Juni mwaka huu

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’