Mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc utapigwa Alasiri ya leo saa tisa kwenye uwanja wa Nelson Mandela
Mpaka kufikia muda huu tayari dimba la Nelson Mandela limefurika, mashabiki wakisubiri mtanange huo
Ni muda mrefu mashabiki wa Rukwa wamekosa burudani ya soka la ushindani hivyo siku hii ya leo kwao ni kama sherehe




ADVERTISE HERE